Ni siku nyingine, karibu uungane nami Happiness Mlewa, kusikiliza mafundisho kupitia kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, leo Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, anaendelea na mafundisho kupitia mataji kumi (10) ya Mama Bikira Maria, na leo tukilitazama taji la tisa (9) ambalo ni Fadhila ya Huruma. Karibu upokee mafundisho haya.