Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Haraka sana ilienea kote Italia, tayari katika miaka ya 90, uzoefu huu wa kipekee wa redio uliamsha shauku katika sehemu zingine za ulimwengu. Baadaye, kila mara chini ya uelekezi na usaidizi wa Radio... more
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.
June 13, 2025Fahamu umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa KatolikiKaribu kusikiliza kipindi cha Ijue Liturujia Takatifu ya Kanisa Katoliki, ambapo leo tupo na padre Clement Kihiyo, Katibu Mkuu Mtendaji wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akizungumzia juu ya umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki.L'articolo Fahamu umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki proviene da Radio Maria....more46minPlay
June 13, 2025Je, mtu akifa kabla ya kubatizwa anakwenda wapi?Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tukiungana na Frateri Erasto Mwanasindele kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu maswali haya, Nini maana ya ubatizo? kwanini ubatizo usiwe wa kujirudia, ninaomba kujua uhalali wa ubatizo wa watoto wachanga? na Je, mtu akifa kabla ya kubatizwa anaenda wapi?L'articolo Je, mtu akifa kabla ya kubatizwa anakwenda wapi? proviene da Radio Maria....more29minPlay
June 11, 2025Je, unafahamu madhara ya kazi bila mawasiliano katika Familia?karibu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, ambapo leo Frateri Valence Leons Sangu kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga Segerea Jimbo Kuu la Dar essalaam, anatufundisha juu ya madhara ya kazi bila mawasiliano katika Familia. L'articolo Je, unafahamu madhara ya kazi bila mawasiliano katika Familia? proviene da Radio Maria....more27minPlay
June 11, 2025Je, nani ni muhusika wa mawasiliano katika Familia?Karibu katika Kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu, leo tuko naye Frateri Joseph Enosi kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga Segerea Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anazungumzia juu ya mawasiliano katika Familia je, nani anahusika?L'articolo Je, nani ni muhusika wa mawasiliano katika Familia? proviene da Radio Maria....more28minPlay
June 11, 2025Je, unaifahamu nafasi ya Baba na Mama katika kujenga Familia bora ya Kikristo?Karibu katika kipindi cha Familia ni nyumba ya Mungu sehemu ya tatu leo tuko naye Frateri Revocatus Shukuru kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Karoli Lwanga Segerea – Jimbo Kuu la Dar es Salaam ambapo anatuongoza kuangazia mada isemayo nafasi ya Baba na Mama katika kujenga Familia bora ya Kikristo.Mtangazaji & Mtayarishaji wako ni mimi Judith Francis.L'articolo Je, unaifahamu nafasi ya Baba na Mama katika kujenga Familia bora ya Kikristo? proviene da Radio Maria....more25minPlay
May 27, 2025Dawa za kulevya zinavyoathiri vijanaMpenzi Msikilizaji karibu ufuatilie Makala maalumu iliyoangazia athari za matumizi ya dawa za kulevya pamoja na pombe kupita kiasi.Ndani ya makala haya utasikia shuhuda za vijana waliopona uraibu huo, wanachosema wazazi lakini pia ushauri wa kitaalamu uliotolewa.Ninaamini kupitia makala haya, utakuwa balozi mzuri wa kuhakikisha unamnusuru kijana mwenzako dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya na pombe kupita kiasi.Mtayarishaji na msimulizi ni Agatha Kisimba.Karibu.L'articolo Dawa za kulevya zinavyoathiri vijana proviene da Radio Maria....more53minPlay
May 23, 2025Je, unafahamu njia za kuponya uraibu katika Familia?Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki la Moshi, akifundisha njia za Familia kupata uponyaji wa uraibu. L'articolo Je, unafahamu njia za kuponya uraibu katika Familia? proviene da Radio Maria....more53minPlay
May 23, 2025Ni kwa namna gani wasiwasi unaweza kuathiri maisha yako?Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Ijue afya yako, mwezeshaji ni Daktari Willison Mgaya kutoka Hospitali ya Mtakatifu Fransisiko wa Asizi, Jimbo Katoliki Ifakara, akiangazia juu ya wasiwasi unavyoweza kuathiri maisha ya kila siku. L'articolo Ni kwa namna gani wasiwasi unaweza kuathiri maisha yako? proviene da Radio Maria....more44minPlay
May 23, 2025Je, unafahamu faida ya matunda katika mwili wa Binadamu?Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji ni Fatuma Juma, Afisa lishe Mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), akifundisha juu ya umuhimu wa matunda katika mwili wa mwanadamu.L'articolo Je, unafahamu faida ya matunda katika mwili wa Binadamu? proviene da Radio Maria....more1hPlay
May 23, 2025Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka) haina tarehe maalumu?Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Shemasi Benedict Pascal Ndinde, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka), haina tarehe maalumu? L'articolo Kwanini sherehe ya ufufuko wa Bwana wetu Yesu Kristo(pasaka) haina tarehe maalumu? proviene da Radio Maria....more28minPlay
FAQs about Radio Maria Tanzania:How many episodes does Radio Maria Tanzania have?The podcast currently has 2,241 episodes available.