Mwanamuziki kutoka Nchini Burundi anayetambulika kama CHRIS BIZ ameumbuka mbele ya mashabiki wake baada ya kuonekana muongo kwa kushindwa kutimiza alichowaahidi. Kisa na mkasa wa hayo yote ni kuwa jamaa alijitoa nakuwatangazia mashabiki wake kuwa yuko anajiandaa kuachia wimbo mpya ambao utatoka na video,Lakini siku chache baadae jamaa aliumbuka pale alipojikuta wimbo huo ameuachia bila […]