Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.
February 19, 2025Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi - Februari 19, 2025Serikali ya Kenya imkosolewa na mkuu wa jeshi la Sudan na baadhi ya wakosowaji wa nchi hiyo kwa kudai imefanya kitendo cha uhalifu wa kutowajibika kwa kuwaruhusu waasi wa kundi la wanamgambo wa Sudan RSF kukutana Nairobi na kupanga kutangaza serikali ya uhamishoni....more4minPlay
November 25, 2024REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3 - Novemba 25, 2024Dunia ikiadhimisha siku 16 za uanaharakati, mashirika ya asasi za kijamii Kenya yameungana na wengine duniani kupinga ukatili wa kijinsia na mauaji ya wanawake ambayo yameshamiri na kuzua hofu miongoni mwa wanawake kenya....more4minPlay
May 28, 2024Biden na Trump watafuta kura za wanawake - Mei 28, 2024Wapiga kura wanawake ni zaidi ya nusu ya wapigakura wote hapa Marekani na katika uchaguzi wa mwaka 2024 kura zao zimekua muhimu kwa wagombea kiti cha rais hawa kutokana na suala la utuaji mimba na haki za uzazi....more4minPlay
May 01, 2024Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana - Mei 01, 2024Rwanda yaweka mkakati mpya wa ajira kwa vijana unaoambatana na mwelekeo wa dunia wenye mfumo wa teknologia katika kutoa huduma mbalimbali....more4minPlay
March 13, 2024Hatimaye suluhisho la mzozo kati ya wakulima na wafugaji lapatikana Nigeria - Machi 13, 2024Ukame, ardhi kugeuka jangwa, ukataji miti na mabadiliko ya hali ya hewa Kaskazini mwa Nigeria yamewalazimisha wafugaji kuhamia kusini wakitafuta maeneo ya malisho kwa mifugo....more3minPlay
February 05, 2024Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano - Februari 05, 2024Mchambuzi wa masuala ya kiuchumi, Charles Karisa anasema kwamba ziara ya rais Andrzej Duda wa Poland nchini Kenya ni muhimu katika kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na biashara kati ya nchi hizo mbili....more3minPlay
December 19, 2023Moise Katumbi afanya kampeni ya uchaguzi Bukavu - Desemba 19, 2023Kampeni ya uchaguzi ikiwa imefikia wiki yapili Nchini DRC, Mgombea Moise Katumbi amewasili mjini Bukavu kujieleza mbele ya wakazi....more3minPlay
December 19, 2023Matarajio ya Vijana kuhusu uchaguzi Congo - Desemba 19, 2023Kundi la vijana nchini Congo kwa ujumla linaelezewa kuwa linatumika katika harakati mbali mbali za uchaguzi ikiwemo kampeni na masuala mengine ambayo inadaiwa kutumia iwe kwa nia njema au kwa sababu za kuwaridhisha wale ambao wanawatumia....more5minPlay
December 19, 2023Kampeni za wabunge DRC na kero lililojitokeza kwa baadhi ya watu - Desemba 19, 2023Kumesalia siku 9 pekee kabla ya wapiga kura wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo kwenda kuwachagua wabunge wakitaifa, majimbo pamoja na kumchagua raisi mpya....more6minPlay
December 19, 2023Kampeni na ushindani uliopo DRC - Desemba 19, 2023Siku chache kabla mwisho wa kampeni za uchaguzi, bado hali ya ushindani inaendelea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, DRC, huku kukiwa na mivutano mikubwa kati ya wagombea....more5minPlay
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.