Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.
June 01, 2023Wanaharakati wasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu - Juni 01, 2023Wanawake wengi wanapitia msongo wa mawazo baada ya kujifungua, wengi wao wakijikuta katika hali ngumu zaidi kwa kukosa msaada wa mapema.Watetezi wa wanawake na hasa wa Afya ya akili wanasema safari ya kutibu msongo wa mawazo ni ndefu na inahitaji wanawake zaidi kuzungumzia matatizo yao mapema....more5minPlay
June 01, 2023Ghasia za kijamii na mapigano yaongezeka Darfur Magharibi - Juni 01, 2023Ghasia za kijamii na mapigano kati ya majeshi ya Sudan na kikosi maalum cha Rapid Support Forces huko Darfur Magharibi zimeongezeka katika siku za karibuni, kwa mujibu wa ripoti. Walioshuhudia ambao wameukimbia mji wa Geneina wanasema mji wao umesambaratishwa....more5minPlay
May 07, 2023JARIDA: Matukio muhimu duniani wiki hii - Mei 08, 2023Kati ya yaliyotokea wiki hii ni pamoja na shambulizi laa ndege isiyokuwa na rubani nchini Russia, Kupitishwa kwa sheria kali dhidi ya ushoga nchini Uganda, Maandamano ya upinzani kufifia nchini Kenya na kufukuliwa kwa miili ya watu waliokufa kutokana na mafunzi ya kidini Kenya...more21minPlay
May 02, 2023MANDAMANO YA UPINZANI KENYA YAMEKOSA JOTO.mp3 - Mei 03, 2023Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alishindwa kuongoza wafuasi wake kwa maandamano kuingia katikati mwa jiji la Nairobi baada ya maafisa wa usalama kushika doria. Kennes Bwire amezungumza na mchambuzi wa siasa Prof Harman Manyora...more13minPlay
April 27, 2023Zimbabwe yasema uchumi wake unaboreka, licha ya viwango vya umaskini kuwa juu - Aprili 27, 2023Leo katika Matukio ya Afrika tunaelekea nchini Zimbabwe ambako walisherehekea sikukuu ya uhuru hapo Aprili 18. Rais Emmerson Mnangagwa anasema uchumi wa nchi unaboreka....more4minPlay
April 10, 2023Matumizi ya Plastiki yasababisha saratani. - Aprili 10, 2023Matumizi ya vyombo vya plastiki yameelezwa kuwa yanasababisha saratani mara vinapotumika kwa muda mrefu bila kubadilishwa. Daktari kutoka Dodoma , Tanzania anaeleza katika makala hii....more7minPlay
January 30, 2023Usalama unachukua nafasi ya juu miongoni mwa wanigeria wanaojitayarisha kwa uchaguzi mkuu - Januari 30, 2023Karibu wanaigeria milioni 93 wanatarajiwa kushiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao Rais Muhamadu Buhari hatoshiriki baada ya kumaliza mihula yake miwili madarakani....more7minPlay
December 20, 2022Museveni ametetea mwanawe Generali Muhoozi Kainerugaba kwa ujumbe wa siasa kwenye twiter - Desemba 20, 2022Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema kwamba haoni makosa yoyote kwa mwanawe kuzungumzia siasa za nchi hiyo licha ya kwamba sheria za nchi zinapiga marufuku wanajeshi kuzungumzia au kujihusisha na siasa. Kennes Bwire amefanya mahojiano na Nabende Wamoto mchambuzi wa siasa za Uganda...more10minPlay
December 20, 2022Je, Rais wa Afrika kusini ataepuka mawimbi ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2024? - Desemba 20, 2022Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa anayekabiliwa na kashfa ya utakatishaji wa fedha amechaguliwa kuwa kiongozi wa chama cha ANC. Je safari yake ya kisiasa itakumbana na vizingiti? Kennes Bwire amaefanya mazungumzo na mchambuzi wa siasa za Afrika kusini Peter Bigenda, akiwa Johannesburg....more14minPlay
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.