Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Voice of America is an international news and broadcast organization serving Central and Eastern Europe, the Caucasus, Central Asia, Russia, the Middle East and Balkan countries... more
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.
August 04, 2022Uchaguzi Mkuu 2022: Miungano ya vyama vya kisiasa Kenya - Agosti 04, 2022Katika mfululizo wa makala yetu kuhusu uchaguzi wa Kenya, leo tunaangazia miungano ya kisiasa, baina ya vyama mbalimbali, baadhi vikiwa na itikadi au sera zinazowiana, na vingine vikiungana kwa kila kinachoelezwa kama sababu ya kutafuta uongozi wa kisiasa tu....more11minPlay
June 06, 2022Mahojiano na msemaji wa waasi wa M23 Mj. Willy Ngoma - Juni 06, 2022Waassi wa M23 wanaopigana na wanajeshi wa DRC wamesema kwamba wataendelea kupigana hadi pale serikali itakapoheshimu makubaliano ya Nairobi. Waasi hao vile vile wamedai kwamba wanapata silaha kutoka kwa jeshi la DRC na wala hawapati msaada kutoka kwa serikali ya Rwanda....more13minPlay
June 03, 2022Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika Macky Sall kukutana na Rais Putin - Juni 03, 2022Rais wa Senegal na mwenyekiti wa sasa wa Umoja wa Afrika anatarajiwa kukutana leo Ijumaa mjini Moscow na Rais wa Russia Vladimir Putin. Je Sall atafaulu kumshawishi Putin kumaliza vita vya Russia huko Ukraine?...more4minPlay
April 15, 2022Miaka minane tangu utekaji nyara wa wasichana wa Chibok huko Nigeria - Aprili 15, 2022April 14 imetimia miaka 8 tangu kundi la kigaidi la Boko Haram lilipofanya shambulizi mwaka 2014 kwenye shule ya sekondari ya wasichana huko Chibok katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na kuwateka nyara wasichana 276 waliokuwa wakifanya mitihani yao ya kumaliza shule...more3minPlay
April 13, 2022Marekani: Wasifu wa Jaji Ketanji na lililopelekea uteuzi wake - Aprili 13, 2022Baraza la seneti la Marekani limemuidhinisha Jaji Ketanji Brown Jackson kuwa jaji wa mahakama ya juu ya Marekani kwa kura 53 dhidi ya 47....more9minPlay
April 13, 2022Watu 29 wamejeruhiwa katika shambulizi kwenye kituo cha treni New York - Aprili 13, 2022Kulingana na maafisa wa jiji la New York mtu mwenye silaha aliyejifunika uso kuzuia moshi wa gesi ya kutoa machozi alifyatua risasi kwenye kituo cha treni cha Brooklyn cha chini ya ardhi na kusababisha hofu miongoni mwa wakaazi ambao ni abiria waliokuwa wakielekea kwenye shughuli mbalimbali za siku...more4minPlay
April 11, 2022Macron kupambana na Le Pen katika duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa - Aprili 11, 2022Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ameanza kampeni kali ya wiki mbili kabla ya duru ya pili ya uchaguzi April 14, ambapo anakabiliwa na ushindani mkubwa kutoka kwa Marine Le Pen mgombea wa siasa kali za mrengo wa kulia....more7minPlay
December 06, 2021Prof Walter Jaoko asema Omicron sio hatari sana kama Delta - Desemba 06, 2021Mwanasayansi, mhadhiri na mtafiti kuhusu virusi nchini Kenya Profesa Walter Jaoko, amesema kwamba utafiti unabaini kwamba aina mpya ya virusi vya Corona Omicron sio hatari kuliko virusi vya awali ikiwemo Delta na kwamba mgonjwa anaweza kutibiwa nyumbani bila kulazwa hospitalini....more15minPlay
September 03, 2021COVID-19 : Wananchi wafarijika kufunguliwa shughuli mbalimbali Rwanda - Septemba 03, 2021Baraza la Mawaziri katika kikao chake cha Alhamisi kilitoa tamko kwa kuanza shughuli za kawaida nchini Rwanda kwa sharti watu watakao hudhuria shughuli hizo katika maeneo mbalimbali, kazini na kwenye burudani ni lazima wawe wamechanjwa... Sikiliza ripoti kamili......more3minPlay
September 02, 2021Uchunguzi wa polisi waonyesha Hamza gaidi - Septemba 02, 2021Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Camillius Wambura akitoa ripoti ya uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu Hamza Mohamed aliyewaua askari watatu wa Jeshi la Polisi na na mlinzi mmoja...more4minPlay
FAQs about Sauti - Voice of America:How many episodes does Sauti - Voice of America have?The podcast currently has 50 episodes available.