Ugonjwa wa Kansa au kwa jina jingine, Saratani, ni kundi la magonjwa yanayosababishwa na mgawanyiko usio sawa na usiodhibitika wa seli na kuunda uvimbe unaovamia na kuzidhuru tishu za mwilini.
Na hivi karibuni tumeshudia ongezeko kubwa la visa vya saratani barani Afrika vinavyosababishwa na maradhi mengine,
Kipindi chetu cha Siha Njema kwa Juma hili nitatupia jicho juu ya Ugonjwa huu hatari