Siha Njema

Siha Njema - Fahamu Juu ya Chanzo na Tiba ya Tatizo la Moyo


Listen Later

Kwa Mujibu wa Ripoti mpya za shirika la Afya Duniani (WHO) zinasema kuwa ugonjwa wa shinikizo la damu ndio ugonjwa ambao unaathiri watu wengi zaidi barani Afrika huku ikionesha asilimia zaidi ya 10 ya Waafrika wameshapata na ugonjwa huo.
Huku sababu kubwa zikitajwa kutokana na watu wengi hivi karibuni kupuuza kufanya mazoezi, kupunguza au kutotumia kabisa matunda angalau matano na mboga kwa siku, matumizi ya tumbaku au sigara na pombe
Kipindi cha Siha Njema kwa juma hili kinangazia juu ya hali ya ukubwa wa tatizo hili katika jamii zetu lakini pia sababu ambazo zimechanga katika ongezeko kwa tatizo hili
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

23 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

83 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

4 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners