Ugonjwa wa Kansa au kwa jina jingine, Saratani,umetajwa kusababishia mwili madhara pale inapoharibu seli na kuzifanya zigawanyike bila kudhibitika na kuwa uvimbe wa tishu unaojulikana kama tumo
Katika Sehemu ya pili na ya mwisho ya Makala yetu ya Siha Njema tunangazia juu ya Tiba ya Saratani na Naama Asasi isiyo ya kiserikali ya Marafiki wa Watoto wenye Saratanina mengine yanavyopambana na Ugonjwa huo hatari