Siha Njema - Fistula Tishio kwa Wajawazito wanaochelewa kufika Hospitali wakati wa Uchungu
Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya 50,000 na 100,000 wakipata tatizo hili kila mwaka.
Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Siha Njema kuangazia Ugonjwa huo.