Siha Njema - Ugonjwa wa kipindupindu watishia afya za wakazi Mashariki mwa DRCongo
Makala ya Siha njema inaangazia ugonjwa wa kipindupindu uliopiga nchini DRC hivi karibuni na kuathiri idadi kubwa ya wakazi.Waziri wa afya jimboni kivu kaskazini na daktari mtafiti wanaangazia namna jami hiyo inavyokabiliana na maradhi hayo.