Tatizo la Moyo Kupanuka au kuwa Mkubwa ni Tatizo ambalo limendelea kuathiri watu wengi hivi karibuni katika Kajamiii Zetu
Tatizo hili linatokana na moyo kupanuka,wengine huzaliwa nalo,kudhoofu kwa misuli ya Moyo na sababu nyingine.Makala yetu ya Siha Njema tunaangazia juu ya Dalili na Tiba ya maradhi ya hayo