Katika makala haya ,tunazungumiza tatizo la usugu wa vimelea vinvyosababisha magonjwa tofauti au Anti Microbial Resistance kwa lugha ya Kiingereza.Tatizo hili hutokea wakati bakteria ,virusi au Fungi zinavyjibadilisha na kukataa dawa ambazo zinatumika kwa matibabu mbali mbali na kumweka mgonjwa katika hatari ya kuugua zaidi au hata kusababisha kifo.