Makala ya Siha Njema juma hili,yanaangazia hali ya utapiamlo nchini Chad,ikiwa imeorodheshwa na shirika la umoja wa mataifa linashughulikia watoto,UNICEF kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya watoto ,wanawake wajawazito na wanaonyonyesha wanaokabiliwa na maradhi ya utapiamlo.