Takwimu kutoka shirika la afya duniani ,zinaonesha watoto zaidi ya milioni tano walio chini ya umri wa miaka mitano ,walifariki dunia mwaka wa 2019 kutokana na sababu ambazo zinaweza kuepukika, kwa vifo hivyo watoto wasiozidi umri wa mwezi mmoja walichangia vifo zaidi ya milioni mbili.
Carol Korir ameangazia namna watoto wanaozaliwa kabla muda wanavyochangia katika takwimu hizi.