Umeshawahi kupokea ushuhuda wa mteja wa bidhaa au huduma yako hadi machozi ya furaha yakatoka?
Ndani ya episode hii nimezungumzia nini kinaufanya ushuhuda wa mteja wako kuwa na mzuri na wenye mashiko!
Hivi unajua Ushuhuda mzuri unaweza kukusaidia kukuza Biashara Yako na kuvutia Wateja Watarajiwa?
Sikiliza Episode Kujifunza Zaidi
Ukiwa unasikiliza episode hii chukua screenshoot na post kwenye Instagram Story yako kisha unitag/mention "@mjasiriamalidigital" ili nijue wewe ni msikilizaji mzuri wa podcast hii
Niulize swali kwenye Instagram https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Tembelea blog yangu
https://www.mjasiriamalidigital.com
Mjasiriamali Digital Podcast Episode 45