Leo nimepata wasaa mzuri wa kuzungumza na Eric Baisi Mtaalamu wa masuala ya kidigitali kutoka Maje Digital, Kampuni inayojihusisha na kusaidia wafanyabishara wenye uwepo mdogo mtandaoni, Kujenga uaminifu kwa wateja wao kupitia maendeleo ya tovuti, graphic designs pamoja na Usimamizi wa kurasa za mitandao wa kijamii.
Ameshare mengi nami hasa Jinsi anavyoingiza kipato, Ushauri kwa vijana walioko vyuoni na Inachukua muda gani kuanza kupata mteja wako wa kwanza instagram.
Sikiliza na share na mfanyabiashara anayetoa huduma yoyote ya kidigitali.
Niulize swali hapa👇🏼
https://www.instagram.com/mjasiriamalidigital Usisahau ku subscribe, kuandika review yako au Comment na kuipa 5 stars Podcast hii kama inakusaidia.
For sponsorship👇🏻 Email: [email protected]
Follow Akaunti ya Maje Digital 👇🏼
https://www.instagram.com/majedigital
Stalk Eric on IG
https://www.instagram.com/ericbaisi
Stalk me on IG
https://www.instagram.com/amanilongishu
Mjasiriamali Digital Podcast
Episode ya 26