Ivi unajua kwa sasa hivi ukikutana na mtu mkapiga story wakati mnaagana anakuuliza unatumia jina gani instagram? Ungana na Amani Longishu kwenye episode ya 12 Nimezungumzia Mambo 6 muhimu kwenye instagram bio yako
Sikiliza kisha share na mfanyabiashara unayependa afanikiwe na biashara yake instagram!!
Nifollow Instagram👇🏿
www.instagram.com/mjasiriamalidigital
Unahitaji kuniona mimi?
Kupata appointment, Darasa au ebook👇🏿
https://beacons.page/mjasiriamalidigital
Usisahau ku subscribe, Kuipa 5 stars na kuandika review yako Kuhusu Mjasiriamali Digital Podcast kwenye Apple Podcasts
Ikiongozwa na Amani Longishu
M3N8R8bF1dTCthCnOmEm