Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Speaking LIFE and TRUTH to your personal development journey inspired by the Word of God.You can connect with me on social media through;Instagram: @thisisupendomasengaFacebook: Upendo MasengaYou... more
FAQs about The Living Fully Podcast:How many episodes does The Living Fully Podcast have?The podcast currently has 55 episodes available.
August 10, 2022EP. 20: Mrembo, Jipende Kwanza.Pamoja na kwamba wanadamu tunapenda kupendwa, bado ni muhimu kujipenda kwanza hasa ukiwa mrembo wa Kristo. Sikiliza mpaka mwisho kujua umuhimu wa kujipenda (self-love). Happy Listening 🎧--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more11minPlay
August 04, 2022EP 19: Mrembo, Jiandae Sasa.Mafanikio ya ndoa yako hayaanzii pale tu utakapoolewa bali tangu ukiwa single, utakapoingia kwenye mahusiano yenye lengo la ndoa na hata utakapochumbiwa. Work on yourself sasa hivi kuepusha majuto baadae ukiwa mke wa mtu na utakapokuwa huna nafasi na uhuru wa kujirekebisha. Singleness ni fursa, you just have to see it in a positive attitude. Ubarikiwe na Happy Listening 🎧.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more10minPlay
July 26, 2022EP 18: Mrembo, Pray For Your Friendships.Kuna imani kubwa juu ya wanawake kuchukiana, kushindwa kushirikiana na hata kutokuwa na uhusiano wa kirafiki mzuri, mwema na wenye afya. Episode ni maalumu kwaajili yako mrembo wa Kristo ambaye kwa muda mrefu umetamani rafiki mwema ambaye ataongeza thamani kwenye maisha yako. Nikutie moyo, Mungu anaweza kukupa rafiki mwema ukimuomba. Omba na uamini na Mungu atakupa rafiki mwema. Ubarikiwe & Happy Listening 🎧.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more8minPlay
July 20, 2022EP. 17: Mrembo Na Kipawa.Inawezekana unatamani sana kukitambua ulicho nacho lakini unaona kama ni kazi kweli kukijua, niko hapa kukurahisishia hilo. Pengine unaamini wewe huna kipawa chochote, hilo si kweli, unacho kipawa ndani yako kama mwanadamu mwingine yeyote yule. Ukiweza kujibu maswali 8 niliyokuuliza katika episode hii, huo utakuwa mwanzo mzuri wa kukitambua na mwanga wa safari ya kutumia kipawa chako. Happy Listening🎧--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more12minPlay
July 08, 2022EP 16: Mrembo, Msubiri & Mwamini BWANA.Najua kuna nyakati za kuchoka na kukata tamaa kama mrembo wa Kristo, episode ni maalumu kwaajili ya kukutia moyo kumtazama Yeye aliye Baba yako huku ukimwamini kwamba atakutana na haja zako. Happy listening🎧--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more8minPlay
June 07, 2022EP 15: Mrembo wa Kristo, Ishi!Huna haja ya ku-pause maisha yako kwa kigezo cha kwamba hujaolewa, unaweza kuyafurahia maisha katika u-singo wako pia. Enjoy the season!--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more20minPlay
May 16, 2022EP. 14: Missionary Dating:Nionavyo Mimi🤔.Japokuwa nilishawahi kuzungumzia suala hili hapo awali katika episode ya 10 (ikiwezekana tafadhali kaisikilize episode hii), leo najaribu kueleza ni kwanini siamini katika 'missionary dating' na nini ambacho mrembo wa Kristo anapaswa kufanya iwapo atakutana na kijana ambaye anataka kuanzisha mahusiano na yeye lakini si muamini (hajaokoka). Karibu☺--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more30minPlay
May 03, 2022EP. 13: Hasara za Kujilinganisha (Comparison).Kupitia episode hii, tutaona namna mbalimbali ambavyo tumekuwa tukijilinganisha. Pressure zinazopelekea kujilinganisha na hatimaye hasara zitokanazo na kujilinganisha na nini ufanye ili kuondokana na tabia ya kujilinganisha.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more28minPlay
April 12, 2022EP 12: Unyakuo Ni Halisi (My Dream Experience).Kwa muda mrefu nimesikia habari za watu kuota au kupata maono kwa habari ya Unyakuo, nami kwa neema ya Mungu nilipata experience hiyo kupitia ndoto mwaka jana. Episode hii itazungumzia juu ya experience hiyo, karibu usikilize. Shalom💕--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more27minPlay
March 21, 2022EP 11: I'M BACK! | NIMERUDI!Kupitia episode hii fupi kabisa nitakwambia kwanini nimekuwa kimya kwa karibia miezi mitatu na nini utarajie kutoka kwa Binti wa Yesu Podcast kuanzia sasa. Karibu tena💜--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more2minPlay
FAQs about The Living Fully Podcast:How many episodes does The Living Fully Podcast have?The podcast currently has 55 episodes available.