Bila kujali wewe ni nani, historia yako, ulikotoka, hali yako ya kiuchumi, kiwango chako cha elimu, hali ya kimahusiano, unajulikana ama hujulikani, nk wewe ni wa thamani. Usikubali kuambiwa au kuaminishwa vinginevyo. Kupitia episode hii, utafahamu hasa kwanini wewe unayo thamani. Karibu❤️
---
Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message