Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Speaking LIFE and TRUTH to your personal development journey inspired by the Word of God.You can connect with me on social media through;Instagram: @thisisupendomasengaFacebook: Upendo MasengaYou... more
FAQs about The Living Fully Podcast:How many episodes does The Living Fully Podcast have?The podcast currently has 55 episodes available.
December 29, 2021Bonus Episode: Ahsante Msikilizaji Wangu & Heri Ya Mwaka Mpya 2022🥳Kutoka moyoni, ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako msikilizaji wangu mpenzi wa podcast. Ahsante kwa kuwa msikilizaji mwaminifu na ahsante kwa ku-share na wengine maudhui za podcast yangu. Ninakutakia heri ya Mwaka Mpya 2022 ❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more3minPlay
December 12, 2021EP. 10: Hasara za Missionary Dating (Hakunaga Faida😏)Katika episode hii nashare na wewe nini maana ya missionary dating, kwanini haina faida kwako kama mrembo wa Kristo na nini ufanye badala yake. Karibu ❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more29minPlay
November 19, 2021EP. 9: Mambo 4 Ya Kujifunza Kwa Jephthah, Mwamuzi Wa Israeli.Kupitia episode hii utajifunza namna ambavyo Mungu hutumia vitu vinyonge ili kuviaibisha vyenye nguvu. Namna ambavyo Yeye hufanya kazi na watu wasiodhaniwa katika jamii kwaajili ya utukufu wake.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more12minPlay
November 08, 2021EP 8: DHANA 5 POTOFU KUHUSIANA NA KUJIZUIA ZINAA (CELIBACY).Ndani ya episode hii utapata ufahamu juu ya mitazamo/dhana/imani potofu zinazoizunguka jamii si tu mataifa bali waamini pia kuhusu suala zima la kujizuia zinaa (celibacy). Karibu ❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more24minPlay
November 07, 2021EP 8: Dhana 5 Potofu Kuhusu Kujizuia Zinaa (Celibacy).Ndani ya episode hii utapata ufahamu juu ya mitazamo/dhana/imani potofu zinazoizunguka jamii si tu mataifa bali waamini pia kuhusu suala zima la kujizuia zinaa (celibacy). Karibu ❤️--- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message...more24minPlay
October 13, 2021EP. 7: SINGLENESS IS AN OPPORTUNITY.Kupitia episode hii utafahamu ni kwanini msimu wa singleness ni fursa na namna unavyoweza kuitumia hiyo fursa. Karibu ❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more37minPlay
October 08, 2021EP. 6: MAMBO 3 YA MSINGI KATIKA SINGLENESS.Katika episode hii utafahamu mambo matatu ya msingi kwa mrembo wa Kristo kuyajua ambayo ni nguzo katika kipindi cha singleness. Sambamba na mambo hayo utazifahamu sifa za kusudi la Mungu maishani mwako. Karibu❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more38minPlay
October 01, 2021EP. 5: KWELI/MISINGI 4 YA KUSUDI LAKO.Baada ya kutambua kusudi la Mungu maishani mwako ni muhimu kuijua misingi ya kusudi hilo ili uweze kuliishi vilivyo.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more19minPlay
September 19, 2021EP. 4: SINGLENESS IS A BLESSING.Kupitia episode hii utafahamu ni jinsi gani wewe kama mrembo wa Kristo unaweza ku-enyoy singleness na kuwa na mtazamo chanya juu ya singleness kwa ujumla wake.--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more27minPlay
August 31, 2021EP. 3: USHUHUDA WA NAMNA YESU ALIVYNIOKOA KUTOKA DHAMBINI.Ndani ya episode hii utakutana na ushuhuda wa namna nilivyopokea wokovu kupitia Kristo Yesu, jinsi alivyoniokoa na dhambi zilizonitesa hasa zinaa. Mwisho kabisa ninalo neno la kutia moyo kwaajili yako binti uliyeokoka katika ulimwengu huu ulioanguka. Shalom❤️--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message...more36minPlay
FAQs about The Living Fully Podcast:How many episodes does The Living Fully Podcast have?The podcast currently has 55 episodes available.