Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba ๐ฐUwekezaji ๐Kujenga Utajiri ๐ตConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @the... more
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.
August 18, 2022Siri Ya Kuwa Na Mafanikio Kiuchumi (S03E15)Leo kwenye episode hii nakupa shauri ambalo ukilifwata huna budi kuwa na mafanikio kiuchumi, chukua shauri hili, utanishukuru badae mtu wangu....more10minPlay
August 05, 2022Umuhimu Wa Kufanya Budgeting Kila Mwezi (S03E14)Unapopate fedha unaipangilia au unaitumia tu kwasababu ni yako? Kuna umuhimu wa kupangilia/ kufanyia budgeting fedha yako. Kwenye episode hii utapata kusikia faida za kufanya budgeting kila mwezi....more9minPlay
July 28, 2022Namna Ya Kuwa na Emergency Fund na Umuhimu wake. (S03E13)Karibu kwenye episode nyingine ya the Queen Gee Podcast, leo tunaangalia nini maana ya Emergency Fund, Umuhimu wake, na Jinsi ya kuanza kuweka akiba kwa ajili ya Emergency (Dharura)...more9minPlay
June 16, 2022Sababu kuu Ya Ukosefu Wa Fedha (S03E12)Tatizo sio kipato chako au wewe sababu ni moja tu, mtazamo wako kifedha....more10minPlay
June 03, 2022Ishi Ndani Ya Uwezo Wako Kifedha (S03E11)Tuendele pale tulipoishia episode iliyoita, huu ni mwendelezo wa elimu ya fedha....more9minPlay
May 26, 2022Jinsi Ya Kupangalia Fedha Zako Kwa Faida Ya Kesho Yako.(S03E10)Money lovers, nidhamu ya fedha ipo au mnapenda fedha tu. Leo tujadili nidhamu ya fedha, kwa faida sio tu ya leo bali na ya baadae. Hakikisha kusikiliza episode hii na rafiki kwa kushare, comment mawazo yako pia....more10minPlay
May 17, 2022Ishi Kusudi Lako... (S03E9) Na Dokta JoeNinayo Furaha kubwa kumleta kwenu mgeni wetu wiki hii, akizungumzia kuishi kusudi lako kwenye maisha na mahusiaono pia.Enjoy!...more8minPlay
May 07, 2022Nyakati Hizi Na Aina Ya Watu Wanaohitajika (S03E8)Kila nyakati inahitaji watu wa aina flani, je nyakati hizi tulizopo zinahitaji watu wa aina gani? Episode hii itakujuza. Na je wewe upo kundi lipi? Au hata kundini haupo?.......more6minPlay
April 13, 2022Haijalishi Wewe Ni Nani... (S03E07)Karibu kwenye episode nyingine ya The Queen Gee Podcast, tafadhali usiache kushare mawazo yako kuhusu episode hii, share episode hii pia na rafiki na kama bado huja-subscribe, fanya hivyo.Love,Queen Gee, The Host!...more5minPlay
March 14, 2022Nini Cha Kufanya Unapotaka Kubadilisha Maisha Yako.. (S03E06)Asante kwa kujumuika nami siku ya leo, ujumbe huu ukisema na wewe nijulishe kwenye comment. Usisahau kushare na marafiki, pia kusubscribe.Much Love,Queen Gee...more7minPlay
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.