Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba ๐ฐUwekezaji ๐Kujenga Utajiri ๐ตConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @the... more
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.
December 29, 2022Mambo Muhimu Ya Kuzingatia Kifedha 2023 (S03E25)Chukua kalamu na note book, andika mambo haya chini, uyashike na kuyazingatia, utakuja kunishkuru badae....more9minPlay
December 19, 2022Majibu Ya Maswali Yako Ya Kifedha Yapo Hapa (S03E24)Wiki hii tunajibu maswali ya kifedha mliouliza, kama bado una swali usisite kuuliza....more11minPlay
December 03, 2022Fahamu Aina 5 Za Budget Na Jinsi Ya Kuzitumia Kulingana Na Malengo Yako (S03E23)Budgeting ni jambo la msingi sana kwenye safari ya kujenga utajiri. Kujua aina ya budget itakayokufaa kutokana na malengo uliokuwa nayo, sikiliza episode hii....more15minPlay
November 18, 2022Kauli Za Kuepuka Kwenye Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S03E22)Mdomo unaumba tunajua siku zote, sasa je unasema nini kuhusiana na fedha? Unaumba Nini kwa kinywa chako mwenyewe?...more10minPlay
November 02, 2022Nini Ufanye Kipindi Cha Mfumuko Wa Bei Ili Kuendelea Kumudu Maisha (S03E21)Mfumuko wa bei unakutesa na kukukosesha raha? Sikiliza episode hii....more11minPlay
October 20, 2022Tabia Zinazosababisha Usiwe Na Hela Muda Wote (S03E20)Kuzijua tabia hizi tu haitoshi kwenye episode hii unapata pia tiba ya tabia hizi.ย #uhuruwakifedhanilazima...more13minPlay
October 12, 2022Jinsi Ya Kuchomoka Kwenye Madeni Yanayokulemea (S03E19)Ili kupata uhuru wa kifedha unahitaji kuwa in control kwenye maisha yako, moja ya changamoto inayotufanya tushindwe kuwa in control ni madeni. Njia hizi zitakusaidia kuchomoka kwenye madeni yanayokulemea....more9minPlay
September 27, 2022Umuhimu Wa Kuwa Serous Na Swala La Fedha Mapema (S03E18)Usisubiri kesho au sijui lini ndo uamue kuwa serious na mambo yako kifedha, kesho hatuijui leo ndo tunayo. Anza Leo Anza Sasa!...more8minPlay
September 19, 2022Kanuni Zitakazo Kusaidia Kuweka Akiba Ukiwa Na Kipato Kidogo (S03E17)Kipato kidogo sio excuse ya kushindwa kufikia malengo yako. Hizi hapa kanuni ambazo ukizishika na kuzizingatia zitakusaidia kuweka akiba na kufikia malengo yako hata kama kipato chako ni kidogo....more9minPlay
September 02, 2022Sehemu Za Kuweka Akiba Yako (S03E16)Swali kubwa la wengi limekuwa ni wapi niweke akiba yangu, kwenye episode hii utapata kusikia baadhi ya sehemu ambazo unaweza kuweka akiba yako tena kwa faida juu....more8minPlay
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.