Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba ๐ฐUwekezaji ๐Kujenga Utajiri ๐ตConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @the... more
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.
August 15, 2025ISHI HUMU ILI UWEZE KUTUNZA FEDHA YAKOMafanikio makubwa kifedha yanachangiwa kwa ukubwa na tabia zako kifedha. Tabia za kila siku ndizo zitaamua ufanikiwe kifedha au ufeli kifedha.Leo tunaangalia tabia zitakazokusaidia kuitunza fedha yako, Kwasababu kuitunza fedha yako ni muhimu kwa faida ya leo na kesho.Karibu Ujifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule,Coach Gee,...more10minPlay
July 14, 2025Hatua Muhimu Kwenye Safari Ya KUJENGA UTAJIRIKila safari ina hatua na hii ndio hatua ya kwanza muhimu kwenye safari yako ya kujenga utajiri wa kudumu....more14minPlay
November 25, 2024Tunapoongelea Uhuru Wa Kifedha Tunamaanisha Nini.Wote tupo kwenye mission ya kupata uhuru wa kifedha, lakini ni ipi maana halisi ya uhuru wa kifedha? Tuangalie maana moja wapo ya uhuru wa kifedha leo.Love & Respect,Grace-Wealth Building Coach...more13minPlay
October 25, 2024TABIA 3 MUHIMU KUWA NAZO KWENYE SAFARI YA KUJENGA UTAJIRIKitakachokutofautisha wewe na wengine katika safari hii ya kujenga utajiri ni TABIA. Na hizi ndio tabia muhimu kuhakikisha unaishi nazo.Kumbuka kwamba kujenga utajiri kwa ajili yako na vizazi vyako inawezekana, AMUA AMUA!Love & Respect,Grace...more9minPlay
March 25, 2024FANYA HAYA KIPINDI HIKI ILI KUTIMIZA MALENGO YAKO KIFEDHAHello Hello WEALTH BUILDERS,Another Week, Another Chance For A Must Have Money Conversation.Please Share This Episode With Friends & Family. Let The Money Gospel Spread, For Everyone Needs It.Love & Respect,Grace....more10minPlay
January 30, 2024Fahamu ''KWANINI'' Yako Ili Ufanikiwe KifedhaUsiwe umeingia tu kwenye safari hii ya kujenga utajiri bila kuwa na ''KWANINI'' ni muhimu na lazima kujua sababu. Sikiliza episode hii kuelewa zaidi.Love & Respect,Queen Gee - The Wealth Building Coach...more9minPlay
January 22, 2024Epuka Kufanya Hili Kifedha 2024 (SO5E01)Happy New Year Wealthy People!Karibuni Kwenye Episode Hii Ambayo Tunaangalia Moja Ya Tabia Ya Kutokuendekeza Kifedha 2024.Ni matumaini Yangu Hautakuwa Tu Msikilizaji Bali PiAa Utakua Mtekelezaji.Love & Respect,Queen Gee - The Wealth Building Coach...more8minPlay
September 19, 2023Fanya Haya Kama Una Kipato Kidogo Ili Uwe Na Mstakabali Mzuri KifedhaKaribu Kwenye Episode Nyingine Ya The Wealth Building Podcast, Elimu Hii Waliyosahau Kukufundisha Shule, Share Na Wengine Tujifunze Pamoja.XOXO,The Wealth Building Coach...more9minPlay
July 16, 2023Fanya Haya Na Fedha Zako Ili Kuwa Na Kesho Bora Kifedha (S04E12)Kazi ya fedha zako sio kulipa bills tu na madeni, kuna zaidi ya hayo. Jifunze kazi zaidi ya pesa zako kwenye episode hii ya leo.Usisahau kushare episode hii na wengine.XOXO,Your Wealth Building Coach...more11minPlay
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.