Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Jifunze Yale Waliyosahau Kukufundisha Shule;Kuweka Akiba ๐ฐUwekezaji ๐Kujenga Utajiri ๐ตConnect with us:Instagram: @thewealthbuildingpodcastAnchor: @thewealthbuildingpodcastApple Podcast: @the... more
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.
June 12, 2023Mambo Muhimu Kifedha Kufanya Kipindi Hiki Cha Nusu MwakaUsiache tu mambo yako ya kifedha yaenda bora yameenda, kuwa in control, shikilia uskani mtu wangu.Mwaka unapogawanyika zingatia kufanya mambo haya muhimu kifedha.XOXO,Your fave wealth building coach....more9minPlay
May 16, 2023Umuhimu Wa Kuwa Na Vyanzo Zaidi Ya Kimoja Vya Mapato (S04E10)Moja ya kanuni muhimu kwenye safari hii ya kujenga utajiri ni kuwa na vyanzo vingi vya mapato.Leo tunaangalia umuhimu wa kuwa na vyanzo vingi vya mapato.Enjoy listening & learning,XOXO,Your fave Wealth Building Coach....more10minPlay
May 01, 2023Umuhimu wa kujilipa wewe kwanza (S04E09)Moja ya financial principle ya muhimu ni kuhakikisha unajilipa wewe kwanza kwenye kila mapato unayopata. Unajilipa vipi na kwanini ni muhimu utajifunza hapa kwenye episode ya wiki hii.Enjoy listening & learning,XOXO,Your wealth building coach....more12minPlay
March 28, 2023Fahamu Tofauti Kati Ya Mikopo Mizuri & Mikopo Mibaya (S04E07)Ile episode tumekuwa tukisubiri kwa hamu hii hapa. Usiogope Mikopo, Ogopa Mikopo Mibaya!Usiache kushare na marafiki episode hii,XOXO,Queen Gee. The Wealth Building Coach....more9minPlay
March 13, 2023Fahamu Hatua Za Kufikia Uhuru Wa Kifedha (S04E06)Hello Wealthy People!Najua ungependa kuzifahamu hatua za kufikia uhuru wa kifedha basi nami bila iyana nakuletea hizi hapa hatua za muhimu za kuzingatia ili uweze kufikia uhuru wako wa kifedha.XOXO,Queen Gee, The Wealth Building Coach....more11minPlay
March 06, 2023Sababu Zinazokufanya Ushindwe Kuweka Akiba (S04E05)Hello Wealthy People! Episode hii ni ya wote tunaoshindwa kuweka akiba, sababu hizi ukizifanyia kazi utavuka eneo hilo la kuweka akiba na utakuja kunishukuru baadae. ย Tafadhali Usiache Ku-Subscribe, like, comment pamoja na kushare episode hii na rafiki. ย XOXO,ย Your Wealth Building Coach...more11minPlay
February 08, 2023Wasichokuambia Kuhusu Safari Ya Kupata Uhuru Wa Kifedha (S04E04)Mpaka sasa utakua umefahamu mengi kwenye safari yako ya kupata uhuru wa kifedha, lakini la muhimu kufahamu zaidi utalijua kwenye hii episode....more10minPlay
January 30, 2023Hatua Za Kufwata Ili Kufikia Uhuru Wako Wa Kifedha (S04E03)Nani asiyetaka kuwa huru kifedha? Hakuna! So leo tunaangalia nini unaweza kufanya ili ufikie uhuru wako wa kifedha....more11minPlay
January 18, 2023Jinsi Ya Kuepuka Madeni Yasiokuwa Ya Lazima 2023 (S04E02)Usiruhusu kufanya kazi, kupata mapato na kuishia kulipa madeni kila siku. Badilika!...more9minPlay
January 10, 2023Siri Ya Kufikia Malengo Yako Kifedha 2023 (S04E01)Happy new year! Unawaza jinsi ya kufikia malengo yako kifedha mwaka huu? Majibu yapo kwenye episode hii....more10minPlay
FAQs about The Wealth Building Podcast:How many episodes does The Wealth Building Podcast have?The podcast currently has 83 episodes available.