Uchomaji wa chanjo kwa watoto hususan ile ya ugonjwa wa surua
Wakati wa Covid-19 watoto wengi wamekosa kupata chanjo muhimu, hali ambayo imesababisha ongezeko la maambukizi ya magonjwa yanayoweza kuzuilika ikiwemo ugonjwa wa Surua.