Wiki hii tunaangazia namna ambavyo wahamiaji au wageni wanaorodheshwa na shirika la afya duniani ,WHO kwenye kundi la watu walio kwenye hatari ya kupata matatizo ya kiakili na kujitoa uhai.