Ugonjwa wa kisukari kwa watoto na athari zake kwa Jamii
Makala haya yanaangazia ugonjwa wa kisukari miongoni mwa watoto na akina mama waja uzito. Kisukari ni baadhi ya magonjwa yanayochangia asilimia 40 ya vifo vinavyotokea katika hospitali nchini Kenya.