Siha Njema

Ugonjwa wa Utindio wa Ubongo almaarufu Celebral Palsy


Listen Later

Ugonjwa unaofahamika kama Utindio wa ubongo au Cerebral Palsy kwa lugha ya kimombo ni ugonjwa unaoathiri ubongo, namara nyingi  unatokea kwa watoto na husababishwa wakati damu inapovuja kwenye ubongo au hakuna hewa yakutosha.

Unaweza kutokea wakati Mtoto anapoanza kupoteza fahamu punde baada ya kuzaliwa au mwezi wa kwanza wa kuzaliwa.Vilevile Jeraha kwenye ubongo linaweza kusababisha matatizo ya kuongea na ugumu wa kufahamu mambo.Sikiliza makala haya kutambua zaidi kuhusu ugonjwa huu.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

83 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

3 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners