Siha Njema

Ushirikiano kati ya shirika la Village Reach na wizara ya afya nchini Kenya na nchi za ukanda wa Afrika


Listen Later

Village Reach ambayo kwa tafsiri rahisi ni kufikia maeneo ya vijijini, imefungua ofisi za kikanda jijini Nairobi kujaribu kusaidia serikali kusimamia namba ya dharura,usafirishaji wa sampuli za Polio na kuboresha utendakazi wa wahudumu wa afya wanaofanya kazi katika jamii tofauti

Baada ya kupata mafanikio makubwa katika nchi za Msumbiji, Malawi ,Village Reach inapanga kutumia mafunzo hayo kusaidia kuboresha huduma za afya katika mataifa ya Afrika.

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ,Village reach imeimarisha huduma za utoaji chanjo ,usafirishaji wa chanjo kutumia ndege zisizo na rubani katika maeneo yasiyo na miundo mbinu ikiwemo mkoa wa Equateur.

Aidha shirika hilo linatoa huduma kwa ushirikiano na serikali katika mataifa mengine yenye mzozo kama vile Niger na Sudan Kusini.

Afisa mkuu mtendaji Emily Bancroft amesisitiza mifumo ya afya inastahili kuwa thabiti ili kuwa na uwezo wa kustahimili majanga na hali za dharura kama ilivyoshuhudiwa wakati wa Uviko 19

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

23 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

83 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

5 Listeners

Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners

Marchés du monde by RFI

Marchés du monde

0 Listeners