Katika Makala haya ,tunaangazia juhudi za watalaam wa afya na viongozi wa Afrika kupigania bara hili kupata chanjo ya kuzuia Corona baada ya madai ya kutokuwepo kwa usawa kwenye usambazaji wa chanjo.
Mataifa mengi ya Afrika kutokana na ubaguzi huo na uhaba wa chanjo yamesalia nyuma katika kampeni ya uchomaji chanjo.