Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Amerika, tuna vipindi juu ya masuali mbali mbali, pamoja na habari na muziki.... more
FAQs about VOA Mitaani - Voice of America:How many episodes does VOA Mitaani - Voice of America have?The podcast currently has 163 episodes available.
May 21, 2024VOA Mitaani: Ethiopia kutumia bandari za nchi jirani kuingiza bidhaa zake - Mei 21, 2024Ethiopia yapanua wigo wake wa kupokea shehena za bidhaa zake kupitia bandari mbalimbali ikiwemo ya Lamu ili kukidhi mahitaji ya nchi hiyo....more5minPlay
May 21, 2024VOA Mitaani: Maoni ya Wakenya baada ya serikali kutangaza ongezeko la kodi - Mei 21, 2024Maoni ya Wakenya baada ya rais William Ruto kutangaza kuwa serikali inakusudia kuongeza kodi nchini humo. Ungana na Mwandishi wa VOA Salma Mohamed aliyefanya mahojiani na baadhi ya Wakenya....more4minPlay
August 14, 2023Je, Wakenya wanasema nini kuhusu shutuma za utumiaji wa maiti za watu kisiasa? - Agosti 14, 2023Wakenya wanazungumzia kuhusu shutuma za utumiaji wa maiti za watu na mrengo wa upinzani kulalamikia dhulma za polisi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea maoni mbalimbali ya Wakenya kuhusu shutuma hizo......more3minPlay
June 24, 2023VOA MITAANI: Maoni ya watanzania kuhusu Siku ya Wajane Duniani - Juni 24, 2023Siku ya Wajane Duniani inaadhimishwa kila mwaka katika nchi mbalimbali. Nchini Tanzania mwandishi wetu anatembelea mitaa ya Kawe jijini Dar es Salaam kutaka kujua wajane hapa nchini wanakabiliwa na changamoto za namna gani. Endelea kusikiliza,,,...more4minPlay
June 17, 2023Maoni ya wakenya kuhusu vipaumbele vya bajeti ya mwaka 2023-2024 - Juni 17, 2023Ungana na mwandishi wetu akikuletea kipindi maalum cha VOA Mitaani ambapo anaangalia masuala muhimu yaliyoko katika bajeti ya Kenya 2023/24 ikiwemo, elimu, afya na uzalishaji wa viwanda. Je, wananchi wa Kenya wana maoni gani kuhusu hayo. Endelea kusikiliza......more4minPlay
May 13, 2023Wananchi waipongeza serikali kudhibiti watu wanaotumia dini kutapeli waumini - Mei 13, 2023Wiki hii VOA Mitaani inaangalia hatua ya serikali ya Kenya kudhibiti imani potofu zinazotumika kuwatapeli waumini....more3minPlay
April 15, 2023Je, nini maoni ya Waislam kuhusu matayarisho ya sikukuu ya Idd el Fitr - Aprili 15, 2023Waislam wako katika maandalizi ya sikukuu ya Idd el Fitr nchini Kenya. Ungana na mwandishi wetu wa Kenya akikuletea maoni ya Waumini wa Dini ya Kiislam kuhusu hali ngumu ya kimaisha iliyopo Kenya na namna wanavyoendelea kumtegemea Munga atawaletea faraja kuweza kuadhimisha sikukuu hiyo....more3minPlay
April 08, 2023Ramadhan: Wakimbizi wa Kiislam Goma wamshukuru Mungu kwa kuwapa fursa ya kumuabudu - Aprili 08, 2023Waislam walioko katika kambi ya wakimbizi katika mji wa Mudigi Wilayani Nyiragongo, Kivu Kaskazini, DRC waeleza namna wanavyomshukuru Mungu kwa msaada wanaoendelea kuupata....more3minPlay
February 04, 2023VOA Mitaani: Uamuzi wa Mahakama Kuu Kenya waibua hisia mseto - Februari 04, 2023Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea maoni ya wananchi kuhusiana na uamuzi uliyotolewa na Mahakama Kuu kuhusu suala tata la ndoa ambalo limeendelea kuibua hisia mseto nchini Kenya....more3minPlay
September 25, 2022Wabunge wepya wa Kenya wajadili kurudishiwa marupurupu kabla ya hata kushughulikia masuala ya kiuchumi. - Septemba 25, 2022Wabunge wepya wa Kenya wajadili kurudishiwa marupurupu kabla ya hata kushughulikia masuala ya kiuchumi....more3minPlay
FAQs about VOA Mitaani - Voice of America:How many episodes does VOA Mitaani - Voice of America have?The podcast currently has 163 episodes available.