Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Amerika, tuna vipindi juu ya masuali mbali mbali, pamoja na habari na muziki.... more
FAQs about VOA Mitaani - Voice of America:How many episodes does VOA Mitaani - Voice of America have?The podcast currently has 163 episodes available.
September 02, 2022VOA Mitaani: Wakazi wa Mombasa wamtaka gavana mpya kuchukua hatua - Septemba 03, 2022Uchaguzi Mkuu Kenya: Nini matarajio ya wakazi wa Mombasa, Kenya baada ya kupata gavana mpya? Ungana na Salma Mohamed akikuletea maoni ya wananchi kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa na gavana mpya....more4minPlay
June 18, 2022VOA MITAANI: Maoni ya wageni Afrika Kusini kuhusu hali ya maisha - Juni 18, 2022Afrika Kusini ni nchi iliyokuwa na raia wengi wa kigeni. Makala ya VOA Mitaani inakuletea maoni ya wageni wanaoishi nchini humo wakieleza mazuri na changamoto wanazopitia...endelea kumsikiliza mwandishi wetu......more3minPlay
June 12, 2022Uchaguzi 2022: Idadi ya wanawake wanaogombea uongozi yaongezeka Kenya - Juni 12, 2022Ungana na mwandishi wa VOA Amina Chombo akikuletea maoni ya Wakenya juu yakuongezeka idadi ya wanawake mbalimbali wanaogombea nyadhifa za uongozi....more3minPlay
May 27, 2022VOA MITAANI: Maoni ya Wakenya juu wanasiasa wanaokabiliwa na kashfa - Mei 28, 2022Taasisi za maadili nchini Kenya na Tume ya Kusimamia Uchaguzi imetishia kuwachuja na kuwaondoa wanasiasa wanaokabiliwa na kashfa kugombea katika uchaguzi ujao, Ungana na mwandishi wetu kusikiliza maoni ya Wakenya kuhusu suala hili......more3minPlay
April 30, 2022Waislam wa Kenya waeleza sikukuu ya Idd itavyokuwa na changamoto - Aprili 30, 2022Wakati dunia ikijiandaa na sherehe za kuadhimisha kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislam wa Kenya waeleza hali ngumu ya maisha inayowakabili kutokana na mfumuko wa bei ya chakula na bidhaa nyingine....more4minPlay
April 24, 2022Wananchi waeleza hisia zao juu ya uamuzi wa Rais Tshisekedi kuzungumza na waasi - Aprili 24, 2022Wananchi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waeleza wasiwasi wao kuhusu mazungumzo yanayofanyika Nairobi katika kutafuta usalama wa eneo la mashariki ya DRC, mojawapo likiwa kuzungumza na makundi ya waasi....more4minPlay
February 18, 2022Wananchi wa Kenya bado waeleza kukerwa na matamshi ya William Ruto - Februari 19, 2022Matamshi ya Naibu Rais William Ruto kuhusu ufugaji wa ngombe katika nchi DRC yanaendelea kuibua hisia mseto kutoka kwa wananchi licha ya kiongozi huyo kuomba msamaha....more3minPlay
February 12, 2022Wananchi wa Goma watoa maoni kufuatia amri ya Rais Tshisekedi ya kuwakamata viongozi - Februari 12, 2022Wananchi wa Goma, Kivu Kaskazini wanaeleza hisia zao juu ya uamuzi wa Rais Felix Tshisekedi kutoa amri ya kukamatwa mshauri wake anayehusika na masuala ya kiusalama na wengine waliokuwa karibu naye....more3minPlay
December 17, 2021Tamko la Waziri Fred Matiang'i lazua mjadala nchini Kenya - Desemba 18, 2021Agizo la Waziri wa Usalama wa Nchi Fred Matiang'i kuwataka maafisa wa serikali kumpigia kampeni mgombea wa urais anaeungwa mkono na Rais Kenyatta limeibua mjadala na maoni chanya....more2minPlay
November 26, 2021Kenya yaanza kuchanja watoto dhidi ya COVID-19 - Novemba 27, 2021Kenya imefanikiwa kuwa taifa la pili Afrika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa watoto walio na umri wa miaka 15 na zaidi huku kukiwa na maoni mseto kuhusu chanjo hiyo kwa watoto....more3minPlay
FAQs about VOA Mitaani - Voice of America:How many episodes does VOA Mitaani - Voice of America have?The podcast currently has 163 episodes available.