Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Amerika, tuna vipindi juu ya masuali mbali mbali, pamoja na habari na muziki.... more
FAQs about VOA Mitaani - Voice of America:How many episodes does VOA Mitaani - Voice of America have?The podcast currently has 163 episodes available.
August 27, 2021Wakenya watathmini mtafaruku ulioko baina ya Kenyatta na Ruto - Agosti 27, 2021Wakenya watoa maoni yao juu ya mtafaruku ulioko baina ya viongozi wa juu wa taifa hilo, Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto....more2minPlay
July 09, 2021VOA Mitaani yaangazia maoni juu ya kufanyika sensa DRC - Julai 09, 2021Wiki hii ungana na mwandishi wetu nchini DRC akizungumzia hali ya kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kuhusiana na tangazo la serikali la kuendesha sensa kabla ya Uchaguzi wa mwaka 2023....more2minPlay
June 25, 2021#VOAMitaani : Wakenya waeleza utekaji nyara ulivyowaathiri - Juni 25, 2021Wiki hii VOA Mitaani inaangazia matukio ya watu kutekwa nyara, kutoweka na wengine kuuawa na wengine kuwa hawajulikani waliko. Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi akizungumza na makazi wa Nairobi namna hali hii ilivyowaathiri....more4minPlay
December 11, 2020Wakazi wa Nairobi wana maoni yanayo tofautiana kuhusu mgomo wa madaktari - Desemba 12, 2020Baadhi ya wakazi wa Nairobi wakubaliana na madai ya madaktari kugoma kutokana na kutopewa vifaa vya kujikinga na virusi vya Corona. Huku wengine wakisema mgomo wao utawaathiri watu zaidi....more3minPlay
October 16, 2020Miongoni mwa wasanii waunga mkono na maandamano ya SARS - Oktoba 16, 2020Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa idara maalum ya polisi maarufu kama SARS ingevunjwa. Tangazo hilo ni kufuatia siku kadhaa za maandamano kote nchini yakilalamikia ukandamizaji kutoka idara hiyo iliobuniwa 1992 kwa lengo la kukabiliana na wizi wa mabavu miongoni mwa maovu mengine. Basi wasanii na watu amshuhuri hawajabaki nyuma kwenye juhudi za kushinikiza kuondolewa kwa idara hiyo pamoja na kuitisha haki kwa waliotendewa ukatili. Miongoni mwa walio jitokeza kuunga mkono maandamano hayo ni Burna Boy, Davido, WizKid na FireBoy DML....more16minPlay
February 22, 2019Hatma ya ndoa za watu wa jinsia moja kujulikana baada ya miezi 3 - Februari 22, 2019Wakenya sasa watasubiri kwa miezi mitatu kujua hatma ya ndoa za watu wa jinsia moja .Haya yanajiri baada ya Mahakama kuu nchini Kenya kuaihirisha uamuzi wa Kihistoria hadi Mei 24, 2019....more4minPlay

September 26, 2018Habari mbalimbali za dunia kwa ufupi. - Septemba 26, 2018Habari mbalimbali za duniani kwa ufupi...more3minPlay