Sign up to save your podcasts
Or
Wadau katika sekta ya afya wana wasi wasi kuhusu ongezeko la magonjwa yaliyotengwa ambayo mengi yao hayana tiba au matibabu yao hayapatikani kwa urahisi au ni bei juu
Wawekezaji katika sekta ya uzalishaji dawa ,chanjo hawavutiwi kuzitengeneza dawa za magonjwa hayo. Magonjwa hayo ni kama vile ugonjwa wa malale,matende ,Chikukungunya na Dengue.

23 Listeners
84 Listeners
5 Listeners
0 Listeners
1 Listeners
13 Listeners
2 Listeners
0 Listeners
0 Listeners