Mataifa mengi yanazidi kupambana kuhakikisha raia wao wanachomwa chanjo ya kuzuia Corona ambayo imesababisha vifo vya wengi duniani. Hata hivyo bara la Afrika bado lina idadi ndogo ya watu waliochanjwa kamili. Katika Makala haya tunajadili tatizo la raia kusita kupokea chanjo ya kuzuia Corona.