Sign up to save your podcasts
Or
H pylori isipotibiwa inaweza kugeuka kuwa saratani ya tumbo ,watalaam wameonya
Katika makala haya,tunaangazia sababu ambazo zinaweza kuchangia mtu kupata maambukizo ya H pylori na matibabu yake.
Matibabu yake kwa mujibu wa daktari Alex Mungala anayehudumu jijini Nairobi yanaweza kukabiliwa na usugu wa vimelea ,ni ghali na si rahisi kupatikana katika vituo vya afya vya daraja la kwanza.

23 Listeners
84 Listeners
5 Listeners
0 Listeners
1 Listeners
13 Listeners
2 Listeners
0 Listeners
0 Listeners