Siha Njema

Yafahamu makundi tofauti ya mafuta ya kula,ubora ,madhara na matumizi yake.


Listen Later

Kuanzia yale ya nazi hadi mizeituni, mboga hadi kanola, parachichi hadi mafuta ya wanyama maswali yameibuka kuhusu tunajuaje yapi mazuri ya kutumia, na ikiwa tunapaswa kuepuka yoyote yale kabisa

Watalaam wa afya wanahoji mafuta ni kiungo muhimu katika mwili wa binadaam kwa  kuwa huchangia madini muhimu na pia husaidia utendakazi wa viungo muhimu mwilini.

Hata hivyo wanashauri mafuta kutumika kwa kiasi ili kuzuia mwili kujilimbikizia mafuta  haswa ya Cholestrol ambayo yanaweza kusababisha mishipa ya kupitisha damu kuziba ,kusababisha saratani,shinikizo la damu na magonjwa ya moyo

Katika orodha ya mafuta,kuna mafuta yanayotokana na mimea ,wanyama na yale yanayozalisha viwandani maarufu kama Trans Fats

Maamuzi ya kutumia mafuta gani ,hata hivyo yanategemea ubora wake ,kazi ya mafuta na mapishi ya mtu

Mafuta ya wanyama japo ni asilia yanapaswa kutumika kwa kiasi kidogo mno .

Mafuta ya uto haswa ya mimea ni mazuri ila yanaweza kuharibika ikiwa utachanganyika na hewa ya oksijeni  au yanapotumika kwa kurudiwa rudiwa.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Siha NjemaBy RFI Kiswahili


More shows like Siha Njema

View all
Jaridun Duniya - RFI by RFI Hausa

Jaridun Duniya - RFI

0 Listeners

Archives d'Afrique by RFI

Archives d'Afrique

85 Listeners

Appels sur l'actualité by RFI

Appels sur l'actualité

22 Listeners

公民论坛 by RFI - 法国国际广播电台

公民论坛

5 Listeners

 by RFI Brasil

1 Listeners

 by RFI Kiswahili

0 Listeners

 by RFI Tiếng Việt

13 Listeners

 by RFI ខេមរភាសា / Khmer

2 Listeners

Marchés du monde by RFI

Marchés du monde

0 Listeners