Watu duniani wameukaribisha mwaka mpya wa Lunar (Tiger Year) kwa shangwe kubwa China na mataifa mengine ya Asia licha ya kuwepo changamoto za maambukizi ya COVID-19.
Mshindi wa Miss Universe mwaka 2022 kutoka India ametembelea wiki hii Jengo la Empire, New York, Marekani ikiwa ni sehemu ya kusheherekea ushindi wake huo akihamasisha afya ya wanawake kuenzi kazi ya udaktari ya mzazi wake.