Mwandishi wetu Sunday Shomari anakuletea yale yanayopatikana katika kitongoji cha Mafalala, Maputo Msumbiji, na juhudi zinazofanyika kuhifadhi kumbukumbu yake yenye chimbuko la utamaduni wa baada ya uhuru wa nchi hiyo. Pia kuna habari kemkem atazukupasha katika simulizi hii, endelea kumsikiliza...