Salamu za rambirambi zinaendelea kumiminika kufuatia kifo cha rapa wa Marekani Coolio ambaye amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 59. Ungana na mwandishi waandishi wetu wakikuletea habari kemkem za burundani kutoka kote ulimwenguni...
Mwanariadha aliyeshinda medali ya dhahabu ya Olimpiki Usain Bolt aligeukia kwenye mitindo wiki hii akishiriki katika onyesho la mavazi la Puma mjini New York.