Beyonce aandaa kipindi cha television ambacho kitafatilia yeye na familia yake katika maandalizi sound track ya filamu ya The lion King. Wiki ya fashion ya jiji la Lome Togo laangazia ubora wa wanamitindo wa afrika.
Mwazilishi wa tamasha la AfroPunk amesema tamasha hilo lina nia ya kuwapa nafasi ya wasanii, na wapenzi wa sanaa kuonyesha kazi zao bila na kuthamini uwezo wa ubunifu. Tuzo za MTV zimeemalizika na kwa Taylor Swift kushinda tuzo ya video bora ya mwaka.

Davido aomboleza kifo cha DJ Arafat, aliyefariki kutokana na ajali ya pikipiki. Na tuzo za Teen Choice za mwaka 2019 zafana kwenye eneo la wazi, Na Taylor Swift atoa hutuba iliyowasisimua wengi

A$AP Rocky akiwa mwenye furaha baada ya kuachiwa kutoka jela Sweden mahala aliposhikiliwa kwa takribani mwezi mmoja. Jacob Mafuleni afungua kituo maalumu cha kuwasaidia vijana wa mtaani kuwaelimisha mafunzo ya muziki.