Zulia Jekundu - Voice of America

Zulia Jekundu - Voice of America

By VOANews
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of America episodes

  • Zulia Jekundu Episode 236 - Julai 26, 2019
    Wanamitindo wa Afrika wamvalisha Beyonce kwenye video ya saundi traki ya Lion King. James Cameron aipongeza filamu ya Avengers the Endgame kwa kuipita Avatar kimauzo. Na kutana na mwanamuziki kutoka Malawi Lazarus Chingwandali akielezea changamoto zake
    16 min

  • Zulia Jekundu Episode 235 - Julai 19, 2019
    Wiki hii ZJ inakuletea ripoti ya Lashana Lynch mwanamke wa kwanza mweusi akichukua namba 007 kwenye toleo lijalo la filamu ya James Bond. Muimbaji R.Kelly amenyimwa dhamana kufuatia mashtaka ya kesi za ngono yanayomkabili. Star Rayvanny wa Bongo Fleva anaelezea safari iliyomleta Marekani

  • Zulia Jekundu Episode 231 - Julai 05, 2019
    Tamasha la nne la Afrika Film Festival la TAFF linalofanyika Dallas Texas kila mwaka limemalizika kwa watengeneza kuangalia filamu, kushiriki katika warsha hatimaye kutunukiwa tuzo. Na mwanamuziki Lil NasX atangaza rasmi kuwa yeye ni shoga.
    15 min

About Zulia Jekundu - Voice of America

From the publisher's feed

Zulia Jekundu