Zulia Jekundu - Voice of America

Zulia Jekundu - Voice of America

By VOANews
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of America episodes

  • Zulia Jekundu Episode 226 - Mei 24, 2019
    Janet Jackson kuanza kutumbuiza mjini Vegas. Fatima Hussein azindua hijab maalum ya wanamichezo ambayo wanawake wa kiislamu wanaweza kutumia wakati wa spoti bila kuathiri maadili ya kidini.Tour ya Hologram yake Whitney Houston kufanyika ikishirikisha Album mpya
    15 min
  • Zulia Jekundu Episode 225 - Mei 10, 2019
    Halima Aden akiwa kwenye ukurasa wa jarida maarufu la Sports.
    Washindi wa Miss America, Miss Teen USA na Miss USA mwaka huu wote ni weusi.
    Madonna atuzwa na kuku akikumbusha waliohudhuria kuhusu umuhimu wa kusadia watu walioathiriwa na ugonjwa wa Ukimwi.
    16 min

  • Zulia Jekundu Episode 224 - Mei 03, 2019
    Wanamuziki mbalimbali wenye asili ya Afrika wamefanya tamasha lilijulikana kwa jina la Coming to Amerika, Davido alikuwa mmoja ya wanamuziki waliotumbuiza kwenye tamasha hilo. Ile albamu ya Lemonade ya Beyonce iliyotamba mwaka 2016 imerudi tena kwenye 200 bora za Billboard.

  • Zulia Jekundu Episode 223 - Aprili 26, 2019
    Tamasha la Coachella lamalizika na kuweka historia mpya. Wanamuziki wengi mashughuri walitumbuiza, mmoja ya show zilizotia fora ni pale Kenye West alipotumbuiza wimbo wake wa All falls down. Netflix yatoa mwanga mpya kwa watengeneza filamu Afrika.

About Zulia Jekundu - Voice of America

From the publisher's feed

Zulia Jekundu