Zulia Jekundu - Voice of America

Zulia Jekundu - Voice of America

By VOANews
Download on the App Store

Zulia Jekundu - Voice of America episodes

  • Zulia Jekundu Episode 231 - Julai 05, 2019
    Tamasha la nne la Afrika Film Festival la TAFF linalofanyika Dallas Texas kila mwaka limemalizika kwa watengeneza kuangalia filamu, kushiriki katika warsha hatimaye kutunukiwa tuzo. Na mwanamuziki Lil NasX atangaza rasmi kuwa yeye ni shoga.
    15 min
  • Zulia Jekundu Episode 228 - Juni 14, 2019
    Onyesho jipya 'When They See Us' lapata umaarufu mkubwa. kipindi hiki kinasimulia kuhusu wanaume watano waliohukumiwa kifungo cha jela bila makosa. na Tuzo za Tony zatolewa mjini New York katika ukumbi wa Radio Music.

  • Zulia Jekundu Episode 227 - Juni 07, 2019
    Jay Z ameingia katika kundi la mabilionea duniani, na kuwa mwanamuziki wa kwanza wa Hip hop mwenye sifa hiyo, naye Rihanna amekuwa mwanamuziki kike tajiri duniani. Mchekeshaji Ramy Youssef aelezea kwa nini ametengenza kipindi cha television ambacho kinaangazaia waislam waarabu waishio Marekani.
    16 min

  • Zulia Jekundu Episode 226 - Mei 24, 2019
    Janet Jackson kuanza kutumbuiza mjini Vegas. Fatima Hussein azindua hijab maalum ya wanamichezo ambayo wanawake wa kiislamu wanaweza kutumia wakati wa spoti bila kuathiri maadili ya kidini.Tour ya Hologram yake Whitney Houston kufanyika ikishirikisha Album mpya
    15 min

About Zulia Jekundu - Voice of America

From the publisher's feed

Zulia Jekundu