Wiki hii katika Zulia Jekundu Mkamiti Kibayasi anaangalia kifo cha Ruge Mutahaba nchini Tanzania. Maombolezo ya Dorothy Masuka na pia tamasha la filamu la FESPACO.

Ulikuwa usiku wa wanawake, hili lilionekana wazi katika tuzo za Grammy ambazo ziliongozwa na Alicia Keys. Wasanii wanawake wengi waliibuka na ushindi. Na nchini UK Spike Lee aliibuka ushindi kwenye tuzo za BAFTA

Adam Levine aacha gumzo Super Bowl 53, na pia matangazo ya biashara yaliyorushwa yaligonga vichwa vya habari . Filamu ya Black Panther kuonyeshwa bure kwenye baadhi ya kumbi za sinema kuadhimisha mwezi wa watu weusi Marekani.