Serikali ya Ethiopia inasema iko tayari kutoa msamaha kwa viongozi wa makundi ya waasi nchini humo, ili kufanikisha amani ya kudumu .
Haya yanajiri wakati masharika ya kiraia yakiendelea kushtumu serikali za Africa, zinazowasamehe viongozi wa makundi ya waasi ambao wamehusika na ukiukaji wa haki za binadamu.
Je ni sahihi kwa serikali za Afrika kutoa msamaha kwa waasi?
Haya hapa baadhi ya maoni yako?