Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
August 01, 202104h36 - 05h00 GMT - Sehemu ya pili ya Historia ya ngome ya Fort Jesus na tamasha la Marahaba nchini BurundiMakala haya ni sehemu ya pili ya Historia kuhusu Ngome ya Fort Jesus iliopo mjini Mombasa ambapo kwa niamba ya Alliance Francaise ya Mombasa iliandaa tamasha la wiki moja lililojulikana kama Bleu Economy ambalo lilisheheni mambo mengi ikiwemo uhamaishashaji na utunzaji wa mazingira. Utasikia pia tamasha la Maraha lililofanyika jijini Bujumbura....more24minPlay