Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
May 05, 202115h36 - 16h00 GMT - Historia ya aliekuwa rais wa BurkinaFaso mwanamapinduzi Thomas Sankara sehemu ya kwanzaKatika Makala haya muandishi wetu wa maswala ya Historia anakuletea Historia ya mwanamapinduzi rais wa BurkinaFaso Thomas Sankara alieleta mabadiliko makubwa katika nchi yake na kupinga ubepari pamoja na kupinga kulipa kodi kutoka taasisi za Kimataifa akidaikuwa ni njia ya ukoloni mambo leo iliowekwa ili kuendelea kulitawala bara la Afrika....more21minPlay