Leo tumeangazia, Shirikisho la riadha duniani kukataa uhamisho wa wanariadha 11 waliokuwa wakitaka kuwakilisha Uturuki. Wakati huo huo, mashabiki wa Kombe la Dunia Marekani watatozwa dola 150 kwa safari ya treni kutoka New York hadi MetLife Stadium.Barani Afrika Ghana ikimteua Carlos Queiroz, kuwa kocha mpya wa timu ya taifa. Nchini Ulaya, UEFA Champions League inaendelea huku 4 zikisaka ubingwa.